Saturday, 3 January 2015

HABARI KUHUSU PANYA ROAD-KUFUNGA MITAA NA KUFANYA VIRUGU JIJINI DAR

Katika hali isyo ya kawaida ya ya kuogopesha,jana usiku iliibuka taharuki kubwa sana kwa wakazi mbalimbali wa jiji la Dar ikiwemo sinza,mwananyamala,kinondoni,mabibo,magomeni n.k kwa kile kinachoelezwa kuwa vijana waitwao Panya Road kuvamia maeneo hayo na kujeruhi watu kwa kutumia visu,mapanga na kuwapora vitu walivyokuwa navyo na wengine kuvunjiwa vioovya magari.Vijana hao wa panya road waliamua kufanya vurugu hilo baada ya mwenzao mmoja kudaiwa ameuwawa na polisi, vijana hao wanasadikiwa kuwa na miaka kati ya 14-17.....see more pictures after the cut

No comments:

Post a Comment