Saturday, 3 January 2015

WEMA SEPETU AUZA GARI ALILOPEWA NA DIAMOND

LOL....Wabongo wanaichekesha so ile gari Nssani Murano Wema aliyozawadiwa na Diamond wanaita "Gari jipya"....Wakati ile gari inaonekana kabisa ni "USED" car na usikute tayari ina mileage 100,000...when you look at it you can tell that is a 2006 Nissan Murano an old model....Anyways rumor has it that Wema Abraham Sepetu anaiuza ile gari hataki mukosi 2015...Wahenga wanasema zawadi haizawadiki na kuna watu wanasema kwa nini anaiuza kama haitaki si airudishe...i don't see why asiiuze Gari kapewa ni yake na kama ana title na ipo under her name why not...girl go ahead and sell it kama unaona inakutia kiwingu nenda kajitafutie gari nyingine au hiyo pesa ukipata katoe sadaka kanisani/msikitini....









No comments:

Post a Comment