Baada ya kudaiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ kuwa alichoropoa mimba zake mbili, mtangazaji wa
Radio E-FM, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ameibuka na kujibu mapigo kwamba
mwanamuziki huyo hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba, Risasi Jumamosi
linakupa mchapo kamili.... Source GP | |
|
|
No comments:
Post a Comment