Wednesday, 24 December 2014

NEWS:SHINDANO LA MISS TANZANIA KUFUNGIWA

Serikali ya Tanzania imefungia shindano la Miss Tanzania kwa takriban miaka 2 kwa kukiuka utaratibu wa mashindano hayo.adhani mnaweza kukumbuka back in October the issue with Sitti Mwinyi na kudanganya miaka yake....source Gazeti la Mtanzania la 12 december 2014

No comments:

Post a Comment