Leo usiku ndiyo ile sherehe ya Uhuru wa Tanzania huko Washngton DC mjini
marekani na Diamond ndiyo atasherehesha usiku wa leo, nimeshapata
fununu kuwa keshaingia mjini wahsngton tayari kwa makamuzi ya usiku kama
upo mujini Washngton DC basi usikose maana hutaacha ona rangi
zote...Big up to JP entertarnment waswahili wanasema "shughuli ni
watuuu.....see more pictures after of Diamond after the cut
No comments:
Post a Comment