ANGALIA PICHA AJALI MBAYA YA BASI LA HAPPY NATION NA GARI NDOGO
Pichani
juu ni baadhi ya Watu wakitazama ajali iliyotokea maeneo ya Hedaru
Wilayani Same mkoani Kilimanjaro jioni ya leo,ambapo ajali hiyo
ilihusisha gari ndogo yenye namba za usajili T653 BZR kuingia chini ya
uvungu wa basi la abairia lijulikanalo kwa jina la Happy Nation,kwa
mujibu wa chanzo chetu cha habari kilieleza kuwa abiria wote waliokuwemo
ndani ya gari ndogo (ambao idadi yao haikujulikana) walipoteza maisha
papo hapo.Aidha bado haikufahamika mapema chanzo cha ajali hiyo ni nini
No comments:
Post a Comment