.
Msanii wa kwanza Waje kutoka Nigeria ameshawasili usiku wa kuamkia
Oct 16 baada ya mameneja wa T.I kuwasili ambapo list nzima ya wasanii wa
kimataifa bado imesalia kukamilika kwa ajili ya Serengeti Fiesta 2014
Jumamosi hii Leaders Club Kinondoni, hizi ni baadhi ya picha za kuwasili
kwa Waje.
.
.
.
.
.
.
.
No comments:
Post a Comment