Thursday, 30 October 2014

NAY WA MITEGO APATA MTOTO WA KIUME

Leo ni siku ya furaha kubwa sana kwa Nay Wa Mitego na mama watoto wake wabahatika kupata mtoto wa kiume, ambaye amezaliwa leo.Amesikika Nay Akisema siku ya leo ni siku ambayo mama yake alizaliwa piwa....Ni bahati iliyoje mjukuu azaliwa siku moja na Bibi...Hongera sana Nay.


Bibi akiwa na Mjukuu wake Nay Jr.


No comments:

Post a Comment