Picha 7 kutoka Airport meneja wa T.I akiwasili Dar kwa ajili ya Fiesta
Jason Geter ataungana na meneja wa Waje ‘ Cecil Hammond’ kutoa semina kwa wadau wa muziki jinsi msanii anavyotakiwa kujitangaza kibiashara,huku tukiusubiri usiku wa Serengeti Fiesta.
No comments:
Post a Comment