Sunday, 26 October 2014

PICS: Mkutano wa wanachama wa CCM Tawi La Houston

Wanachama wa CCM Tawi la Houston walikutana jana kuzungumzia maendeleo ya chama chao - Kushoto Ni Katibu Tawi la Houston Ndugu Abdala Nyangassa akiongoza kikao. More pictures after the cut




Mwenyekiti CCM Tawi la Houston Kulia - Ndugu Saimon Makangula  akiteta jambo na makada wa Tawi Amina Lesso, Lulu Mmari-Kamanga, Anthony, mjumbe na Katibu wa Tawi Ndugu Nyangasa



Mhasibu wa Tawi Ndugu Hizza "Joe"Kamanga akikabidhi pesa kutoka kwa wanachama wapya kwa katibu wa Tawi la CCM Houston Ndugu Nyangasa...Great Job Guys....Kidumu chama


No comments:

Post a Comment