RAIS KIKWETE AELEKEA NCHINI MAREKANI LEO
Posted by wendy on November 7, 2014 at 11:39am
0 Comments
0 Likes
Rais Profesa Jakaya
Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said
Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika
Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo
Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa
ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Rais Profesa Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi…
Rais Profesa Jakaya
Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe said
Meck Sadik na Meneja wa Huduma za Shirika la ndege la Emirates katika
Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Bw. Aboubakar Juma leo
Novemba 6, 2014 wakati akielekea kupanda ndege kuelekea Marekani kwa
ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Rais Profesa Jakaya
Mrisho Kikwete akiagana na askari polisi pamoja na wafanyakazi katika
uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kabla ya kupanda ndege ya
shirika la Emirates kuelekea Marekani leo Novemba 6, 2014
No comments:
Post a Comment