WATU WANNE WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUDONDOKEWA NA KUFUNIKWA NA LORI LA MIZIGO
Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku watu wanne wakiwa wamefunikwa.
Watu
wanne wamefariki papo hapo Saa kumi usiku leo baada ya kudondokewa na
Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea
Ilembula, kutokana na kufunikwa na Lori hilo watu hao wameendelea kuwa
chini ya Lori hilo na Kazi ya kuwatoa inaendelea kufanyika sasa.
Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali huku wengine wakijipanga jinsi ya kuwaokoa walifunikwa na kifusi.
Baadhi ya mizigo ikiwa imedondoka katika mto
Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda Ilembula
Mashuhuda wakiwa wanaongezeka kufika katika eneo la Tukio
Kazi ya uokoaji ikiwa imeanza
Lori la mizigo likiwa limedondoka
No comments:
Post a Comment