SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE BAADAE THAI VILLAGE
Posted by wendy on November 7, 2014 at 9:13am
0 Comments
0 Likes
Majembe
ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao
Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini
Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa muziki wa dansi
Joniko Flower, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo, Digna Mbepera na
Sam Mapenzi.
Sehemu ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na sebene la Nasaka Dough ndani ya…
Majembe
ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao
Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini
Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa muziki wa dansi
Joniko Flower, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo, Digna Mbepera na
Sam Mapenzi.
Sehemu
ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na sebene la Nasaka
Dough ndani ya kiota cha Thai Village Masaki Ijumaa iliyopita.
Kikosi
kazi cha Skylight Band kikiongozwa na rapa Joniko Flower kutoa burudani
kwa mashabiki wake (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha
maraha cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Kutoka
kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Bela Kombo, Sam Mapenzi na
Digna Mbepera wakijibu mapigo ya mashabiki wa Skylight Band kwa staili
ya aina yake.
Mashabiki
wa Skylight Band wakijibu mapigo kwa staili ya "Yachuma chuma"...Muguu
wa kushoto mbele wa kulia nyuma, Yachuma chuma nataka mukanda Yachuma
chuma....raha iliyoje unakosaje sasa, fanya uje tukutane pale kati.
Na huku nako hawavumi lakini wamo kama inavyoonekana pichani.
Wadau nao wakaendelea kujiachia......Asanteni kwa kuja na kuitakia wito wa Ukodak kwa sana bila woga...!
Divas
wa Skylight Band wakiongozwa na Meneja wa bendi Aneth Kushaba AK47
kutoa burudani kwa mashabiki wao. Kulia ni Bela Kombo na kushoto ni
Digna Mbepera kwenye show iliyowabamba wakazi wa jiji la Dar Ijumaa
iliyopita ndani ya Thai Village Masaki jijini Dar.
Wadada warembo kama hawa wanapatikana Skylight Band pekeee...ni Kila Ijumaa ndani ya Thai Village Masaki jijini Dar.
Digna Mbepera akifanya yake huku akipewa back up na Aneth Kushaba AK47.
Aneth
Kushaba AK47 a.k.a "Komando Kipensi" akifanya yake jukwaani huku
akipewa sapoti na Digna Mbepera sambamba na Hashim Donode.
Hashim Donode akitumbuiza mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Sura
mpya ndani ya Skylight Band Bela Kombo akiwapa raha mashabiki wa bendi
hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiunga cha Thai Village Masaki jijini
Dar.
Sony
Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akiporomosha mavocal ya hatari kwa
mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita kwenye
kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Utaniambia nini zaidi ya Skylight Band, Band ya wajanja na wakali wa town..! tukutane baadae ndio utajua!
Sam
Mapenzi;……Kuna Watu Hatari, Wenye Mapenzi Zenye Siri Kali,…Letu Nalo
Lina Jua Kali, Penzi Letu Serikali,….Wajua Nakupenda, Malaika…..Aneth
Kushaba;…..I’m Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I, Love You,
(Aiyayaaaaa)….I’m Going Koo Koo Koo, So Koo Koo Coz I, I Love
You,….(Aiyayaaaaa)…Hizi zote utazipata Skylight Band si
kwingine...tukutane baadaeeee!
Jamani
Skylight Band kuna raha jamani hebu cheki swahiba hapo pichani
alivyoshikwa na hisia mpaka anataka kulia....Skylight Band wamchoma
kumoyo jamani...! Dada nae hapo pembeni sasa wewe ni sheeeeeedahhhh!
Watu weeeeeeeeeee!
When it comes to Naija Flava with Sam Mapenzi....! Only at Skylight Band
On the Spot Danny Kidjo wa Minibuzz naye alikuja ku-show love kwa Skylight Band.
Team #Wanamanyoya wakiongozwa na Rais wao #SultanGijegije (kulia).
Wadau wa Skylight Band wakishow love na mmoja wa Wanamanyoya.
Mdau wa Fresh media na Danny Kidjo wakipata Ukodak ndani ya Skylight Band Ijumaa iliyopita.
Wadau wa ukweli wa Skylight Band wakiendelea kupata Ukodak.
Yeah that's Whats up....! Wadau wa Skylight Band.
Bela Kombo wa Skylight Band akishow love na shabiki wake...mtoto mzuriii
No comments:
Post a Comment